![]() |
| ndondo2017.blogspot.com |
United, ambaye amerejea kwenye ushindani wa klabu bingwa ulaya baada ya kukosekana kwa mwaka mmoja baada ya kushinda kombe la Europa msimu uliopita, walimpoteza kwa majeruhi kipindi cha kwanza lakini mabadala wake Fellaini alikuja kuleta madhara makubwa, alifunga goli la kwanza dakika ya 35
Romelu Lukaku aliongeza lingine dakika ya 53 kabla ya mtokea benchi Rashford kuja kuhakikisha alama tatu kwa vijana wa Jose Mourihno.

No comments:
Post a Comment