![]() |
| ndondo2017.blogspot.com |
Meneja wa Manchester United amesema hajui ni kiasi gani mchezaji huyo amepata majaraha baada ya mchezo, lakini Mfaransa huyo alitoka Old Trafford akiwa anaugulia maumivu.
"Kwa kweli sijui, lakini kwa uzoefu wangu, kwa kuangalia tu nahisi ni majeraha ya misuli," Mourinho alisema. "Jeraha kubwa, dogo, sijui."
Michael Carrick na Antonio Valencia wakiwa benchi, Pogba alirithi kitambaa cha unahodha katika uwanja wa Old Trafford, lakini haikuwa siku yake nzuri kwa sababu ya majeraha hayo.

No comments:
Post a Comment