Manchester United imefanya mawasiliano na kuonyesha nia ya kumsajili Tanguy Ndombele katika dirisha la uhamisho wa majira ya joto, kulingana na tetesi za usajiri .
Le10 Sport ya nchini Ufarasa imeripoti kuwa Man City na United wako kwenye ushindani kumsajili kiungo huyo wa Lyon na ufaransa mwenye umri wa miaka 22.
Man city waliamua Ndombele anapaswa kuhamia mwishoni mwa msimu, hata hivyo sasa United imeongeza jitihada zao juu ya mpango huo.
Ripoti hiyo inaonyesha United amefanya kuwasiliana na wakala wa wachezaji, juu ya uhamisho wa kiungo wa Ufaransa mwishoni mwa msimu huu.
Kwa mujibu wa ripoti ya United na City, wote wawili walitakiawa katoa ada € 80millioni, ili kupata sgining yake.
Hata hivyo, report hiyo imesema kwamba Juventus pia wameonyesha nia ya kumtaka Ndombele kwa njia yoyote kwa kupiku vilabu vya Manchester.

No comments:
Post a Comment